Proverbs 25:16
Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, 2 ukila zaidi, utatapika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, 2 nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 1
17Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, 2 ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. 1
Cross References
Judges 14:8Baada ya muda aliporudi ili akamwoe, akatazama kando ili kuutazama mzoga wa yule simba, na tazama, kulikuwa na kundi la nyuki ndani ya ule mzoga wa simba na kulikuwa na asali;
Proverbs 23:8Utatapika kile kidogo ulichokula, 2 nawe utakuwa umepoteza bure 2 maneno yako ya kumsifu. 1
Proverbs 25:27Si vyema kula asali nyingi sana, 2 wala si heshima 2 kujitafutia heshima yako mwenyewe. 1
Isaiah 7:22Kwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.
Ephesians 5:18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.