Proverbs 25:28
Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka 2 ndivyo alivyo mtu 2 ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that hath no rule over his own spirit is like a city that is broken down, and without walls.
In Context
27Si vyema kula asali nyingi sana, 2 wala si heshima 2 kujitafutia heshima yako mwenyewe. 1
Cross References
1 Samuel 25:17Sasa fikiri juu ya jambo hili na uone unaweza kufanya nini, kwa sababu maafa yanakaribia juu ya bwana wetu na nyumba yake yote. Yeye ni mtu mwovu kiasi kwamba hakuna mtu awezaye kuzungumza naye.”
Nehemiah 1:3Wakaniambia, “Wale walionusurika kwenda uhamishoni, wale ambao wamerudi kwenye lile jimbo, wako katika taabu kubwa na aibu. Ukuta wa Yerusalemu umebomoka, na malango yake yamechomwa moto.”
Proverbs 19:18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, 2 usiwe mshirika katika mauti yake. 1
Proverbs 22:24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1