Proverbs 27:7
Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, 2 bali kwa mwenye njaa 2 hata kile kilicho kichungu 2 kwake ni kitamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The full soul loatheth an honeycomb; but to the hungry soul every bitter thing is sweet.
In Context
6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, 2 bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 1
Cross References
Numbers 11:4Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule!
Numbers 21:5wakamnungʼunikia Mungu na Mose, wakisema, “Kwa nini umetupandisha kutoka Misri ili tufe jangwani? Hakuna mkate! Hakuna maji! Nasi tunachukia sana chakula hiki duni!”
Luke 15:16Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote.