Proverbs 27:9
Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, 2 nao uzuri wa rafiki huchipuka 2 kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ointment and perfume rejoice the heart: so doth the sweetness of a man’s friend by hearty counsel.
In Context
Cross References
Judges 9:9“Lakini mzeituni ukaijibu, ‘Je, niache kutoa mafuta yangu ambayo kwake miungu na wanadamu huheshimiwa, ili nikawe juu ya miti?’
1 Kings 1:12Sasa basi, acha nikushauri jinsi utakavyookoa uhai wako mwenyewe na uhai wa mwanao Solomoni.
Psalms 23:5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1
Psalms 104:15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, 2 mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, 2 na mkate wa kutia mwili nguvu. 1
Proverbs 7:17Nimetia manukato kitanda changu 2 kwa manemane, udi na mdalasini. 1
Proverbs 16:21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, 2 na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 1