Proverbs 28:5
Watu wabaya hawaelewi haki, 2 bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Evil men understand not judgment: but they that seek the LORD understand all things.
In Context
4Wale waiachao sheria huwasifu waovu, 2 bali wale waishikao sheria huwapinga. 1
6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 1
Cross References
Psalms 92:6Mjinga hafahamu, 2 mpumbavu haelewi, 1
Psalms 119:100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee, 2 kwa kuwa ninayatii mausia yako. 1
Proverbs 24:7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, 2 katika kusanyiko langoni 2 hana lolote la kusema. 1
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1
Mark 4:10Alipokuwa peke yake, watu waliokuwepo naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake.
1 Corinthians 2:14Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni.