Proverbs 29:18
Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, 2 bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where there is no vision, the people perish: but he that keepeth the law, happy is he.
In Context
17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, 2 atakufurahisha nafsi yako. 1
19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, 2 ajapoelewa, hataitikia. 1
Cross References
Exodus 32:25Mose akaona kuwa watu wameasi, kwa kuwa Aroni alikuwa amewaacha waasi, na hivyo kuwa kichekesho kwa adui zao.
2 Chronicles 28:19Bwana aliishusha Yuda kwa sababu ya Ahazi mfalme wa Israeli, kwa kuwa alikuwa ameongeza uovu katika Yuda na kumkosea Bwana mno.
Psalms 19:11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, 2 katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 1
Psalms 119:1Heri wale walio waadilifu katika njia zao, 2 wanaoenenda katika sheria ya Bwana. 1
Proverbs 19:16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, 2 bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 1
Amos 8:11“Siku zinakuja,” asema Bwana Mwenyezi, 2 “wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote: 1 si njaa ya chakula wala kiu ya maji, 2 lakini njaa ya kusikia maneno ya Bwana. 1