Proverbs 29:5
Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, 2 anautandaza wavu kuitega miguu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A man that flattereth his neighbour spreadeth a net for his feet.
In Context
4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, 2 bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza. 1
6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe 2 bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 1
Cross References
2 Samuel 14:17“Basi sasa mtumishi wako anasema, ‘Neno la bwana wangu mfalme na linipatie pumziko, kwa maana bwana wangu mfalme ni kama malaika wa Mungu katika kutambua jema na baya. Bwana Mungu wako na awe pamoja nawe.’ ”
Psalms 5:9Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, 2 mioyo yao imejaa maangamizi. 1 Koo lao ni kaburi lililo wazi, 2 kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu. 1
Proverbs 1:17Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu 2 wakati ndege wote wanakuona! 1
Proverbs 7:21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1
Lamentations 1:13“Kutoka juu alipeleka moto, 2 akaushusha katika mifupa yangu. 1 Aliitandia wavu miguu yangu 2 na akanirudisha nyuma. 1 Akanifanya mkiwa, 2 na mdhaifu mchana kutwa. 1