Proverbs 29:6
Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe 2 bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the transgression of an evil man there is a snare: but the righteous doth sing and rejoice.
In Context
5Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, 2 anautandaza wavu kuitega miguu yake. 1
7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, 2 bali mwovu hajishughulishi na hilo. 1
Cross References
Job 18:7Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; 2 shauri lake baya litamwangusha. 1
Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
Psalms 118:15Sauti za shangwe na ushindi 2 zinavuma hemani mwa wenye haki: 1 “Mkono wa kuume wa Bwana 2 umetenda mambo makuu! 1
Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Proverbs 11:5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, 2 bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 1
Ecclesiastes 9:12Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: 1 Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, 2 au ndege wanaswavyo kwenye mtego, 1 vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya 2 zinazowaangukia bila kutazamia. 1 Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu