Proverbs 29:4
Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, 2 bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The king by judgment establisheth the land: but he that receiveth gifts overthroweth it.
In Context
5Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, 2 anautandaza wavu kuitega miguu yake. 1
Cross References
2 Samuel 8:15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
2 Kings 15:18Akatenda maovu machoni pa Bwana. Katika wakati wa utawala wake wote, hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati ambazo alisababisha Israeli kuzitenda.
Psalms 89:14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; 2 upendo na uaminifu vinakutangulia. 1
Proverbs 8:15Kwa msaada wangu wafalme hutawala 2 na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 1
Proverbs 16:10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, 2 wala kinywa chake hakipotoshi haki. 1
Proverbs 20:8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, 2 hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 1