Zekaria 7:10
Msimwonee mjane wala yatima, mgeni wala maskini. Msiwaziane mabaya mioyoni mwenu ninyi kwa ninyi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
Cross References
Exodus 22:21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.
Deuteronomy 24:14Usimwonee mtu maskini na mhitaji ambaye umemwajiri, akiwa ni nduguyo Mwisraeli au mgeni anayeishi katika mojawapo ya miji yenu.
Psalms 21:11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako 2 na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 1
Psalms 72:4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu 2 na atawaokoa watoto wa wahitaji, 2 ataponda mdhalimu. 1
Proverbs 3:29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, 2 ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 1
Proverbs 22:22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1