Proverbs 3:7
Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; 2 mche Bwana ukajiepushe na uovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not wise in thine own eyes: fear the LORD, and depart from evil.
In Context
6katika njia zako zote mkiri yeye, 2 naye atayanyoosha mapito yako. 1
8Hii itakuletea afya mwilini mwako, 2 na mafuta kwenye mifupa yako. 1
Cross References
Job 1:1Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.
Psalms 34:11Njooni, watoto wangu, mnisikilize, 2 nitawafundisha kumcha Bwana. 1
Proverbs 14:27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1
Proverbs 26:12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1
Ecclesiastes 12:13Hii ndiyo jumla ya maneno; 2 yote yamekwisha sikiwa: 1 Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, 2 maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 1
Romans 11:25Ndugu zangu, ili msije mkajidai kuwa wenye hekima kuliko mlivyo, nataka mfahamu siri hii: Ugumu umewapata Israeli kwa sehemu hadi idadi ya watu wa Mataifa watakaoingia itimie.