Proverbs 30:16
Ni kaburi, tumbo lisilozaa, 2 nchi isiyoshiba maji kamwe, 2 na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 30:1Raheli alipoona hamzalii Yakobo watoto, akamwonea ndugu yake wivu. Hivyo akamwambia Yakobo, “Nipe watoto, la sivyo nitakufa!”
Isaiah 5:14Kwa hiyo kaburi + 5:14 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. limeongeza hamu yake 2 na kupanua mdomo wake bila kikomo, 1 ndani mwake watashuka wakuu wao na wingi wa watu, 2 pamoja na wagomvi wao, na wafanyao sherehe wote. 1