Isaiah 5:14
Kwa hiyo kaburi + 5:14 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. limeongeza hamu yake 2 na kupanua mdomo wake bila kikomo, 1 ndani mwake watashuka wakuu wao na wingi wa watu, 2 pamoja na wagomvi wao, na wafanyao sherehe wote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.
Psalms 49:14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, + 49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu. 2 nacho kifo kitawala. 1 Wanyofu watawatawala asubuhi, 2 maumbile yao yataozea kaburini, 2 mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 1
Proverbs 1:12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, + 1:12 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 1
Proverbs 30:16Ni kaburi, tumbo lisilozaa, 2 nchi isiyoshiba maji kamwe, 2 na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’ 1
Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1
Ezekiel 32:18“Mwanadamu, omboleza kwa ajili ya makundi ya wajeuri wa Misri na uwatupe kuzimu yeye na binti za mataifa yenye nguvu, waende huko pamoja nao washukao shimoni.