Mithali 30:33
Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi, 2 na pia kule kufinya pua hutoa damu, 2 kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 15:18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, 2 bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 1
Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1
Proverbs 28:25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, 2 bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 1