The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 30 › Proverbs 30:5

Proverbs 30:5

“Kila neno la Mungu ni kamilifu; 2 yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Every word of God is pure: he is a shield unto them that put their trust in him.

In Context

4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? 2 Ni nani ameshakusanya upepo 2 kwenye vitanga vya mikono yake? 1 Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? 2 Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? 1 Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? 2 Niambie kama unajua! 1

6Usiongeze kwenye maneno yake, 2 ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 1

Read all of Proverbs 30

Cross References

Genesis 15:1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: 1 “Usiogope, Abramu. 2 Mimi ni ngao yako, 2 na thawabu yako kubwa sana.”

Psalms 3:3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1

Psalms 18:30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu, 2 neno la Bwana halina dosari. 1 Yeye ni ngao kwa wote 2 wanaokimbilia kwake. 1

Psalms 19:8Maagizo ya Bwana ni kamili, 2 nayo hufurahisha moyo. 1 Amri za Bwana huangaza, 2 zatia nuru machoni. 1

Psalms 91:2Nitasema kumhusu Bwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, 2 Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.” 1

Psalms 119:140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, 2 mtumishi wako anazipenda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 30:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 30:4Proverbs 30Proverbs 30:6 →