Proverbs 31:21
Theluji ishukapo, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, 2 kwa maana wote wamevikwa nguo za kutia joto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She is not afraid of the snow for her household: for all her household are clothed with scarlet.
In Context
20Huwanyooshea maskini mikono yake 2 na kuwakunjulia wahitaji vitanga vyake. 1
22Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, 2 yeye huvaa kitani safi na urujuani. 1
Cross References
2 Samuel 1:24“Enyi binti za Israeli, 2 lieni kwa ajili ya Sauli, 1 ambaye aliwavika nguo 2 nyekundu na maridadi, 1 ambaye aliremba mavazi yenu 2 kwa mapambo ya dhahabu. 1
Nahum 2:4Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, 2 yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. 1 Yanaonekana kama mienge ya moto; 2 yanakwenda kasi kama umeme. 1