Proverbs 31:22
Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, 2 yeye huvaa kitani safi na urujuani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She maketh herself coverings of tapestry; her clothing is silk and purple.
In Context
23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, 2 aketipo miongoni mwa wazee wa nchi. 1
Cross References
Judges 8:26Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilifikia shekeli 1,700, + 8:26 Shekeli 1,700 ni sawa na kilo 19.5. bila kuhesabu mapambo mengine, pete za masikio na mavazi ya zambarau yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani, au mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia zao.
Esther 8:15Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha.
Proverbs 7:16Nimetandika kitanda changu 2 kwa kitani za rangi kutoka Misri. 1
1 Peter 3:3Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje tu, kama vile kusuka nywele, kuvalia vitu vilivyofanyizwa kwa dhahabu na kwa mavazi.
Revelation 19:14Majeshi ya mbinguni walikuwa wakimfuata, wakiwa wamepanda farasi weupe, hali wamevaa mavazi ya kitani safi, nyeupe na nzuri.