Proverbs 4:15
Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; 2 achana nayo, na uelekee njia yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Avoid it, pass not by it, turn from it, and pass away.
In Context
14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu 2 wala usitembee katika njia ya watu wabaya. 1
16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1
Cross References
Job 11:14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako 2 wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako, 1
Proverbs 1:15Mwanangu, usiandamane nao. 2 Usiweke mguu wako katika njia zao, 1
Proverbs 6:5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, 2 kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. 1
Isaiah 33:15Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1
1 Thessalonians 5:22Jiepusheni na uovu wa kila namna.