Mithali 7:1
Mwanangu, shika maneno yangu 2 na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, keep my words, and lay up my commandments with thee.
In Context
2Shika amri zangu nawe utaishi; 2 linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. 1
Cross References
Job 22:22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, 2 na maneno yake uyaweke moyoni mwako. 1
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 5:5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; 2 hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. + 5:5 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1
Proverbs 10:14Wenye hekima huhifadhi maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 1
Luke 11:28Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)
John 15:20Kumbukeni lile neno nililowaambia, ‘Hakuna mtumishi aliye mkuu kuliko bwana wake.’ Kama wamenitesa mimi, nanyi pia watawatesa. Kama wamelishika neno langu, watalishika na neno lenu pia.