Proverbs 4:9
Atakuvika shada la neema kichwani mwako 2 na kukupa taji ya utukufu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She shall give to thine head an ornament of grace: a crown of glory shall she deliver to thee.
In Context
8Mstahi, naye atakukweza; 2 mkumbatie, naye atakuheshimu. 1
10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, 2 nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 1
Cross References
1 Kings 3:13Zaidi ya hayo, nitakupa yale ambayo hukuomba, yaani utajiri na heshima, ili kwamba maisha yako yote hapatakuwa na mtu kama wewe miongoni mwa wafalme.
Proverbs 3:22ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako 2 na pambo la neema shingoni mwako. 1
Proverbs 16:31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1
1 Timothy 2:9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,
1 Peter 3:4Badala yake, kujipamba kwenu kuwe katika utu wenu wa moyoni, yaani uzuri usioharibika wa roho ya upole na utulivu, ambayo ni ya thamani sana machoni pa Mungu.
Revelation 3:21“Yeye ashindaye nitampa haki ya kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi, kama vile mimi nilivyoshinda na nikaketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi.