Proverbs 7:2
Shika amri zangu nawe utaishi; 2 linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Keep my commandments, and live; and my law as the apple of thine eye.
In Context
1Mwanangu, shika maneno yangu 2 na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. 1
3Yafunge katika vidole vyako; 2 yaandike katika kibao cha moyo wako. 1
Cross References
Deuteronomy 32:10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1
Psalms 119:144Sheria zako ni sahihi milele, 2 hunipa ufahamu ili nipate kuishi. 2 Maombi Kwa Ajili Ya Kuokolewa 1
Proverbs 4:13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; 2 mshike, maana yeye ni uzima wako. 1
Jeremiah 38:20Yeremia akajibu, “Hawatakutia mikononi mwao. Mtii Bwana kwa kufanya kile ninachokuambia. Kisha utafanikiwa na maisha yako yatakuwa salama.
John 12:49Kwa maana sisemi kwa ajili yangu mwenyewe, bali Baba aliyenituma aliniamuru ni nini cha kusema na jinsi ya kukisema.
John 15:14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.