Proverbs 8:20
Natembea katika njia ya unyofu 2 katika mapito ya haki, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment:
In Context
19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; 2 kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 1
21nawapa utajiri wale wanipendao 2 na kuzijaza hazina zao. 1
Cross References
Psalms 23:3hunihuisha nafsi yangu. 1 Huniongoza katika njia za haki 2 kwa ajili ya jina lake. 1
Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1
Proverbs 3:6katika njia zako zote mkiri yeye, 2 naye atayanyoosha mapito yako. 1
Proverbs 4:25Macho yako na yatazame mbele, 2 kaza macho yako moja kwa moja mbele yako. 1
Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Isaiah 55:4Tazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa, 2 kiongozi na jemadari wa mataifa. 1