Proverbs 8:7
Kinywa changu husema lililo kweli, 2 kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For my mouth shall speak truth; and wickedness is an abomination to my lips.
In Context
6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; 2 ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 1
8Maneno yote ya kinywa changu ni haki; 2 hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. 1
Cross References
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Proverbs 16:12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1
John 1:17Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
John 8:45Lakini kwa sababu nimewaambia kweli hamkuniamini!
John 17:17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.
Revelation 3:14“Kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye Amen, shahidi mwaminifu na wa kweli, mtawala wa uumbaji wote wa Mungu.