The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 8 › Proverbs 8:6

Proverbs 8:6

Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; 2 ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear; for I will speak of excellent things; and the opening of my lips shall be right things.

In Context

5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; 2 ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 1

7Kinywa changu husema lililo kweli, 2 kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 1

Read all of Proverbs 8

Cross References

Job 33:1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; 2 zingatia kila kitu nitakachosema. 1

Psalms 49:3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, 2 usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 1

Proverbs 4:2Ninawapa mafundisho ya maana, 2 kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 1

Proverbs 22:20Je, sijakuandikia misemo thelathini, 2 misemo ya mashauri na maarifa, 1

Matthew 5:2Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: 1

Matthew 13:35Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: 1 “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; 2 nitahubiri mambo yaliyofichika 2 tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” 1 Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 8:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 8:5Proverbs 8Proverbs 8:7 →