Zaburi 104:13
Huinyeshea milima kutoka orofa zake, 2 dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He watereth the hills from his chambers: the earth is satisfied with the fruit of thy works.
In Context
12Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji, 2 huimba katikati ya matawi. 1
14Huyafanya majani ya mifugo yaote, 2 na mimea kwa watu kulima, 2 wajipatie chakula kutoka ardhini: 1
Cross References
Deuteronomy 11:11Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.
Job 38:37Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? 2 Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni 1
Psalms 65:10Umeilowesha mifereji yake 2 na kusawazisha kingo zake; 1 umeilainisha kwa manyunyu 2 na kuibariki mimea yake. 1
Psalms 104:3na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. 1 Huyafanya mawingu kuwa gari lake, 2 na hupanda kwenye mbawa za upepo. 1
Jeremiah 10:13Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; 2 huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. 1 Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua, 2 naye huuleta upepo kutoka ghala zake. 1
Amos 9:6yeye ambaye hujenga jumba lake la kifalme katika mbingu 2 na kuisimika misingi yake juu ya dunia, 1 yeye aitaye maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake. 1