Psalms 33:21
Mioyo yetu humshangilia, 2 kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For our heart shall rejoice in him, because we have trusted in his holy name.
In Context
20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, 2 yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 1
22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana, 2 tunapoliweka tumaini letu kwako.
Cross References
1 Chronicles 16:10Lishangilieni jina lake takatifu; 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1
Psalms 13:5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1
Psalms 30:10Ee Bwana, unisikie na kunihurumia, 2 Ee Bwana, uwe msaada wangu.” 1
Isaiah 25:9Katika siku ile watasema, 2 “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; 2 tulimtumaini, naye akatuokoa. 1 Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; 2 sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.” 1
Luke 1:47nayo roho yangu inamfurahia 2 Mungu Mwokozi wangu, 1
Revelation 4:8Kila mmoja wa hawa viumbe wanne wenye uhai alikuwa na mabawa sita, na kujawa na macho pande zote hadi chini ya mabawa. Usiku na mchana hawaachi kusema: “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako, aliyeko na atakayekuja.”