The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 23 › Zaburi 23:2

Zaburi 23:2

Hunilaza katika malisho 2 ya majani mabichi, 1 kando ya maji matulivu huniongoza, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He maketh me to lie down in green pastures: he leadeth me beside the still waters.

In Context

1Bwana ndiye mchungaji wangu, 2 sitapungukiwa na kitu. 1

3hunihuisha nafsi yangu. 1 Huniongoza katika njia za haki 2 kwa ajili ya jina lake. 1

Read all of Zaburi 23

Cross References

Exodus 15:27Kisha wakafika Elimu, mahali palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na miti sabini ya mitende, wakapiga kambi huko karibu na maji.

Psalms 46:4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, 2 mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 1

Isaiah 30:23Pia atawapa mvua kwa ajili ya mbegu mnazootesha ardhini, chakula kinachotoka ardhini kitakuwa kizuri sana, tena tele. Katika siku ile, ngʼombe wenu watalisha katika shamba pana la majani.

Ezekiel 34:13Nitawatoa katika mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mbalimbali, nami nitawaleta katika nchi yao wenyewe. Nitawalisha kwenye milima ya Israeli, katika mabonde na mahali pote panapokalika katika nchi.

Revelation 7:17Kwa maana Mwana-Kondoo 2 aliyeko katikati ya kile kiti cha enzi 2 atakuwa Mchungaji wao; 1 naye atawaongoza kwenda 2 kwenye chemchemi za maji yaliyo hai. 1 Naye Mungu atafuta kila chozi 2 kutoka macho yao.”

Revelation 22:1Kisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima, maangavu kama kioo yakitiririka kutoka kwenye kile kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 23:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 23:1Zaburi 23Zaburi 23:3 →