Zaburi 27:13
Nami bado nina tumaini hili: 2 nitauona wema wa Bwana 2 katika nchi ya walio hai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I had fainted, unless I had believed to see the goodness of the LORD in the land of the living.
In Context
14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.
Cross References
Job 28:13Mwanadamu hatambui thamani yake; 2 haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 1
Psalms 31:19Tazama jinsi ulivyo mkuu wema wako, 2 uliowawekea akiba wakuchao, 1 ambao huwapa wale wakukimbiliao 2 machoni pa watu. 1
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Psalms 56:13Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti 2 na miguu yangu kwenye kujikwaa, 1 ili niweze kuenenda mbele za Mungu 2 katika nuru ya uzima.
Psalms 142:5Ee Bwana, nakulilia wewe, 2 nasema, “Wewe ni kimbilio langu, 2 fungu langu katika nchi ya walio hai.” 1
Isaiah 38:11Nilisema, “Sitamwona tena Bwana, 2 Bwana katika nchi ya walio hai, 1 wala sitamtazama tena mwanadamu, 2 wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. 1