The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 49 › Zaburi 49:16

Zaburi 49:16

Usitishwe mtu anapotajirika, 2 fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be not thou afraid when one is made rich, when the glory of his house is increased;

In Context

15Lakini Mungu atakomboa uhai + 49:15 Au: nafsi. wangu na kaburi, 2 hakika atanichukua kwake. 1

17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, 2 fahari yake haitashuka pamoja naye. 1

Read all of Zaburi 49

Cross References

Genesis 31:1Yakobo akawasikia wana wa Labani wakisema, “Yakobo amechukua kila kitu kilichokuwa cha baba yetu naye amepata utajiri huu wote kutokana na vile vilivyokuwa mali ya baba yetu.”

Esther 5:11Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.

Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1

Proverbs 28:12Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, 2 bali waovu watawalapo, watu hujificha. 1

Revelation 21:24Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 49:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 49:15Zaburi 49Zaburi 49:17 →