Zaburi 49:3
Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, 2 usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My mouth shall speak of wisdom; and the meditation of my heart shall be of understanding.
In Context
2Wakubwa kwa wadogo, 2 matajiri na maskini pamoja: 1
4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, 2 nitafafanua kitendawili kwa zeze: 1
Cross References
Deuteronomy 32:2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1
Job 33:33Lakini kama huna la kusema, basi nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitakufundisha hekima.”
Psalms 19:14Maneno ya kinywa changu 2 na mawazo ya moyo wangu, 1 yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, 2 Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Psalms 45:1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema 2 ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; 2 ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 1
Psalms 119:130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, 2 kunampa mjinga ufahamu. 1
Proverbs 8:6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; 2 ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 1