Zaburi 49:2
Wakubwa kwa wadogo, 2 matajiri na maskini pamoja: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Both low and high, rich and poor, together.
In Context
1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1
3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, 2 usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 1
Cross References
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1
Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1
Micah 1:2Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, 2 sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, 1 ili Bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, 2 Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. 1 Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu 1
James 2:1Ndugu zangu, kama waaminio katika imani ya Bwana wetu Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, msiwe na upendeleo kwa watu.