The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 94 › Zaburi 94:13

Zaburi 94:13

unampa utulivu siku za shida, 2 mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa 2 kwa ajili ya mwovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That thou mayest give him rest from the days of adversity, until the pit be digged for the wicked.

In Context

12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1

14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, 2 hatauacha urithi wake. 1

Read all of Zaburi 94

Cross References

Job 34:29Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2

Psalms 49:5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, 2 wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 1

Isaiah 26:20Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu 2 na mfunge milango nyuma yenu, 1 jificheni kwa kitambo kidogo 2 mpaka ghadhabu yake ipite. 1

Jeremiah 18:22Kilio na kisikike kutoka kwenye nyumba zao 2 ghafula uwaletapo adui dhidi yao, 1 kwa kuwa wamechimba shimo ili kunikamata 2 na wameitegea miguu yangu mitego. 1

2 Corinthians 4:17Kwa maana dhiki yetu nyepesi iliyo ya kitambo inatutayarisha kwa ajili ya utukufu wa milele unaozidi kuwa mwingi kupita kiasi,

Hebrews 4:9Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 94:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 94:12Zaburi 94Zaburi 94:14 →