The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 10 › Romans 10:20

Romans 10:20

Naye Isaya kwa ujasiri mwingi anasema, 1 “Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 2 Nilijifunua kwa watu 2 wale ambao hawakunitafuta.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Esaias is very bold, and saith, I was found of them that sought me not; I was made manifest unto them that asked not after me.

In Context

19Nami nauliza tena: Je, Waisraeli hawakuelewa? Kwanza, Mose asema, 1 “Nitawafanya mwe na wivu 2 kwa watu wale ambao si taifa. 1 Nitawakasirisha kwa taifa 2 lile lisilo na ufahamu.”

21Lakini kuhusu Israeli anasema, 1 “Mchana kutwa nimewanyooshea 2 watu wakaidi na wasiotii mikono yangu.”

Read all of Romans 10

Cross References

Proverbs 28:1Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, 2 bali wenye haki ni wajasiri kama simba. 1

Isaiah 52:15hivyo atayashangaza mataifa mengi, 2 nao wafalme watafunga vinywa vyao kwa sababu yake. 1 Kwa kuwa yale ambayo hawakuambiwa, watayaona, 2 nayo yale wasiyoyasikia, watayafahamu.

Isaiah 58:1“Piga kelele, usizuie. 2 Paza sauti yako kama tarumbeta. 1 Watangazieni watu wangu uasi wao, 2 na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao. 1

Matthew 20:16“Vivyo hivyo, wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” 1 Yesu Atabiri Tena Kuhusu Kifo Chake (Marko 10:32-34; Luka 18:31-34)

Luke 14:23“Ndipo yule bwana akamwambia mtumishi wake, ‘Nenda kwenye barabara na vijia vilivyoko nje ya mji na uwalazimishe watu waingie ili nyumba yangu ipate kujaa.

Ephesians 6:19Niombeeni na mimi pia, ili kila nifunguapo kinywa changu, nipewe maneno ya kusema, niweze kutangaza siri ya Injili kwa ujasiri,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 10:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 10:19Romans 10Romans 10:21 →