Romans 10:8
Lakini andiko lasemaje? “Lile neno liko karibu nawe, liko kinywani mwako na moyoni mwako,” yaani, lile neno la imani tunalolihubiri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“au ‘Ni nani atashuka kwenda kuzimu?’ ” (yaani ili kumleta Kristo kutoka kwa wafu.)
Cross References
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Acts 10:43Manabii wote walishuhudia juu yake kwamba kila mtu amwaminiye hupokea msamaha wa dhambi katika Jina lake.” 1 Watu Wa Mataifa Wapokea Roho Mtakatifu
Acts 16:31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”
Romans 10:17Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Galatians 3:5Je, Mungu huwapa Roho wake na kufanya miujiza katikati yenu kwa sababu mnatii sheria, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia?
1 Peter 1:23Kwa maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu ile iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika, kupitia kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu milele.