Zechariah 1:13
Kwa hiyo Bwana akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD answered the angel that talked with me with good words and comfortable words.
In Context
Cross References
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Jeremiah 30:10“ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 usifadhaike, ee Israeli,’ 4 asema Bwana. 1 ‘Hakika, nitakuokoa kutoka mbali, 2 wazao wako kutoka nchi ya uhamisho wao. 1 Yakobo atakuwa tena na amani na usalama, 2 wala hakuna atakayemtia hofu. 1
Amos 9:11“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1
Zechariah 1:9Nikauliza, “Hivi ni vitu gani bwana wangu?” Malaika aliyekuwa akizungumza na mimi akanijibu, “Nitakuonyesha kuwa ni nini.”
Zechariah 2:4na kumwambia: “Kimbia, umwambie yule kijana, ‘Yerusalemu utakuwa mji usio na kuta kwa sababu ya wingi wa watu na mifugo iliyomo.
Zechariah 8:2Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Nina wivu sana kwa ajili ya Sayuni, ninawaka wivu kwa ajili yake.”