Yeremia 22:7
Nitawatuma waharabu dhidi yako, 2 kila mtu akiwa na silaha zake, 1 nao watazikata boriti zako nzuri za mierezi 2 na kuzitupa motoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1
Isaiah 27:10Mji ulio na boma umebaki ukiwa, 2 makao yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. 1 Huko ndama hulisha, 2 huko hujilaza, 2 wanakwanyua matawi yake. 1
Isaiah 54:16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1
Jeremiah 5:15Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana, 2 “Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako, 1 taifa la kale na linaloendelea kudumu, 2 taifa ambalo lugha yao huijui, 2 wala msemo wao huwezi kuuelewa. 1
Jeremiah 50:20Katika siku hizo, wakati huo,” 2 asema Bwana, 1 “uchunguzi utafanyika kwa ajili ya kosa la Israeli, 2 lakini halitakuwepo, 1 kwa ajili ya dhambi za Yuda, 2 lakini haitapatikana hata moja, 1 kwa kuwa nitawasamehe 2 mabaki nitakaowaacha. 1
Zechariah 11:1Fungua milango yako, ee Lebanoni, 2 ili moto uteketeze mierezi yako! 1