The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 11 › Zekaria 11:7

Zekaria 11:7

Kwa hiyo nikalilisha kundi lililotiwa alama kwa kuchinjwa, hasa kundi lililoonewa sana. Kisha nikachukua fimbo mbili, moja nikaiita Fadhili na nyingine Umoja, nami nikalilisha kundi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will feed the flock of slaughter, even you, O poor of the flock. And I took unto me two staves; the one I called Beauty, and the other I called Bands; and I fed the flock.

In Context

6Kwa kuwa sitawahurumia tena watu wa nchi,” asema Bwana. “Nitawakabidhi kila mtu mkononi mwa jirani yake na mfalme wake. Wataitenda jeuri nchi, nami sitawaokoa kutoka mikononi mwao.”

8Katika mwezi mmoja nikawaondoa wachungaji watatu. Kundi la kondoo likanichukia, nami nikachoshwa nao,

Read all of Zekaria 11

Cross References

Leviticus 27:32Zaka yote ya kundi la ngʼombe au la kondoo na mbuzi, kila mnyama wa kumi apitaye chini ya fimbo ya yule awachungaye, atakuwa mtakatifu kwa Bwana.

1 Samuel 17:43Akamwambia Daudi, “Je, mimi ni mbwa, hata unanijia na fimbo?” Yule Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.

Psalms 133:1Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza 2 wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja! 1

Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

Jeremiah 5:4Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; 2 wao ni wapumbavu, 1 kwa maana hawaijui njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao. 1

Micah 7:14Wachunge watu wako kwa fimbo yako, 2 kundi la urithi wako, 1 ambalo linaishi peke yake msituni, 2 katika nchi ya malisho yenye rutuba. 1 Waache walishe katika Bashani na Gileadi 2 kama ilivyokuwa siku za kale. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 11:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 11:6Zekaria 11Zekaria 11:8 →