Zekaria 12:4
Katika siku hiyo nitampiga kila farasi kwa hofu ya ghafula, naye ampandaye nitampiga kwa uwazimu,” asema Bwana. “Nitalielekeza jicho langu la ulinzi juu ya nyumba ya Yuda, nami nitawapofusha farasi wote wa mataifa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:28Bwana atakupiga kwa wazimu, upofu na kuchanganyikiwa kwa akili.
2 Kings 6:14Ndipo akatuma farasi na magari ya vita na jeshi lenye nguvu huko. Walikwenda usiku na kuuzunguka mji.
2 Chronicles 6:20Macho yako na yafumbuke kuelekea Hekalu hili usiku na mchana, mahali hapa ambapo ulisema, ‘Jina langu litakuwako humo,’ ili kwamba upate kusikia maombi ambayo mtumishi wako ataomba kuelekea mahali hapa.
2 Chronicles 7:15Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Psalms 76:5Mashujaa hulala wametekwa nyara, 2 hulala usingizi wao wa mwisho; 1 hakuna hata mmoja wa watu wa vita 2 anayeweza kuinua mikono yake. 1
Isaiah 37:17Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno yote ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.