The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 12 › Zekaria 12:5

Zekaria 12:5

Kisha viongozi wa Yuda watasema mioyoni mwao, ‘Watu wa Yerusalemu wana nguvu kwa sababu Bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu wao.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the governors of Judah shall say in their heart, The inhabitants of Jerusalem shall be my strength in the LORD of hosts their God.

In Context

4Katika siku hiyo nitampiga kila farasi kwa hofu ya ghafula, naye ampandaye nitampiga kwa uwazimu,” asema Bwana. “Nitalielekeza jicho langu la ulinzi juu ya nyumba ya Yuda, nami nitawapofusha farasi wote wa mataifa.

6“Katika siku hiyo nitawafanya viongozi wa Yuda kuwa kama kigae cha moto ndani ya lundo la kuni, kama mwenge uwakao kati ya miganda. Watateketeza kulia na kushoto mataifa yote yanayowazunguka, lakini Yerusalemu utabaki salama mahali pake.

Read all of Zekaria 12

Cross References

Psalms 18:32Mungu ndiye anivikaye nguvu 2 na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 1

Psalms 20:6Sasa nafahamu kuwa Bwana 2 humwokoa mpakwa mafuta wake, 1 humjibu kutoka mbingu yake takatifu 2 kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 1

Psalms 68:34Tangazeni uwezo wa Mungu, 2 ambaye fahari yake iko juu ya Israeli, 2 ambaye uwezo wake uko katika anga. 1

Psalms 144:1Sifa ni kwa Bwana Mwamba wangu, 2 aifundishaye mikono yangu vita, 2 na vidole vyangu kupigana. 1

Isaiah 1:23Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1

Isaiah 28:5Katika siku ile, Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atakuwa taji la utukufu, 1 taji zuri la maua 2 kwa mabaki ya watu wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 12:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 12:4Zekaria 12Zekaria 12:6 →