The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 14 › Zekaria 14:3

Zekaria 14:3

Kisha Bwana atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shall the LORD go forth, and fight against those nations, as when he fought in the day of battle.

In Context

2Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini.

4Siku hiyo miguu yake itasimama juu ya Mlima wa Mizeituni, mashariki mwa Yerusalemu, nao Mlima wa Mizeituni utagawanyika mara mbili kuanzia mashariki hadi magharibi, ukifanya bonde kubwa, nusu ya mlima ukisogea kuelekea kaskazini na nusu kuelekea kusini.

Read all of Zekaria 14

Cross References

Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1

Joshua 10:14Haijakuwepo siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo Bwana alimsikiliza mwanadamu. Hakika Bwana alikuwa akiwapigania Israeli.

2 Chronicles 20:15Akasema: “Sikilizeni, enyi Yuda wote nanyi nyote mkaao Yerusalemu, nawe Mfalme Yehoshafati! Hili ndilo Bwana asemalo kwenu, ‘Msiogope wala msifadhaike kwa sababu ya jeshi hili kubwa. Kwa maana vita hivi si vyenu, bali ni vya Mungu.

Isaiah 29:7Kisha makundi ya mataifa yote yale yapiganayo dhidi ya Arieli, 2 yale yanayomshambulia yeye na ngome zake, na kumzunguka kwa jeshi, 1 watakuwa kama ilivyo ndoto, 2 kama maono wakati wa usiku: 1

Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1

Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 14:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 14:2Zekaria 14Zekaria 14:4 →