Isaiah 29:7
Kisha makundi ya mataifa yote yale yapiganayo dhidi ya Arieli, 2 yale yanayomshambulia yeye na ngome zake, na kumzunguka kwa jeshi, 1 watakuwa kama ilivyo ndoto, 2 kama maono wakati wa usiku: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 73:20Kama ndoto mtu aamkapo, 2 hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana, 2 utawatowesha kama ndoto. 1
Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!
Jeremiah 25:31Ghasia zitasikika hadi miisho ya dunia, 2 kwa maana Bwana ataleta mashtaka dhidi ya mataifa; 1 ataleta hukumu juu ya wanadamu wote 2 na kuwaua waovu wote,’ ” 4 asema Bwana.
Micah 4:11Lakini sasa mataifa mengi 2 yamekusanyika dhidi yako. 1 Wanasema, “Mwache anajisiwe, 2 macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!” 1
Nahum 2:1Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi. 2 Linda ngome, 2 chunga barabara, 2 jitieni nguvu wenyewe, 2 kusanya nguvu zako zote! 1
Zechariah 12:9Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu. 1 Kumwombolezea Yule Aliyechomwa Mkuki