Zechariah 2:6
“Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema Bwana, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Cross References
Genesis 19:17Mara walipokwisha kuwatoa nje, mmoja wao akawaambia, “Mkimbie kwa usalama wenu! Msitazame nyuma, wala msisimame popote katika nchi tambarare! Kimbilieni milimani, ama sivyo mtaangamizwa!”
Ruth 4:1Boazi akakwea mpaka kwenye lango la mji, akaketi pale. Yule mtu wa jamaa aliyekuwa wa karibu wa kukomboa, ambaye Boazi alimtaja, akaja. Boazi akasema, “Njoo hapa, rafiki yangu. Karibu uketi.” Naye akakaribia, akaketi.
Isaiah 52:11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko! 2 Msiguse kitu chochote kilicho najisi! 1 Tokeni kati yake mwe safi, 2 ninyi mchukuao vyombo vya Bwana. 1
Jeremiah 1:14Bwana akaniambia, “Kutoka kaskazini maafa yatamwagwa kwa wote waishio katika nchi.
Jeremiah 15:4Nitawafanya wawe machukizo kwa falme zote za dunia kwa sababu ya kile alichofanya Manase mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda huko Yerusalemu. 1
Jeremiah 31:10“Sikieni neno la Bwana, enyi mataifa, 2 litangazeni katika nchi za pwani ya mbali: 1 ‘Yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya 2 na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’ 1