The Bible Software
bible.softwareZechariahZechariah 2 › Zechariah 2:7

Zechariah 2:7

“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Deliver thyself, O Zion, that dwellest with the daughter of Babylon.

In Context

6“Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema Bwana, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema Bwana.

8Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Baada ya yeye kuniheshimu na kunituma mimi dhidi ya mataifa yaliyokuteka nyara, kwa kuwa yeyote awagusaye ninyi, anaigusa mboni ya jicho lake,

Read all of Zechariah 2

Cross References

Numbers 16:26Mose akalionya kusanyiko, “Sogeeni nyuma mbali na mahema ya hawa watu waovu! Msiguse kitu chochote kilicho mali yao, la sivyo mtafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi zao zote.”

Isaiah 48:20Tokeni huko Babeli, 2 kimbieni kutoka kwa Wakaldayo! 1 Tangazeni hili kwa kelele za shangwe 2 na kulihubiri. 1 Lipelekeni mpaka miisho ya dunia; 2 semeni, “ Bwana amemkomboa 2 mtumishi wake Yakobo.” 1

Isaiah 52:11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko! 2 Msiguse kitu chochote kilicho najisi! 1 Tokeni kati yake mwe safi, 2 ninyi mchukuao vyombo vya Bwana. 1

Jeremiah 51:6“Kimbieni kutoka Babeli! 2 Okoeni maisha yenu! 2 Msiangamizwe kwa sababu ya dhambi zake. 1 Ni wakati wa kisasi cha Bwana, 2 atamlipa kile anachostahili. 1

Micah 4:10Gaagaa kwa utungu, ee Binti Sayuni, 2 kama mwanamke mwenye utungu wa kuzaa, 1 kwa kuwa sasa ni lazima uuache mji 2 ukapige kambi uwanjani. 1 Utakwenda Babeli; 2 huko utaokolewa. 1 Huko Bwana atakukomboa 2 kutoka mikononi mwa adui zako. 1

Revelation 18:4Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: 1 “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, 2 ili msije mkashiriki dhambi zake, 2 ili msije mkapatwa na pigo lake lolote; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zechariah 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zechariah 2:6Zechariah 2Zechariah 2:8 →