Isaya 48:14
“Kusanyikeni, ninyi nyote, msikilize: 2 Ni ipi miongoni mwa hizo sanamu 2 ambayo imetabiri vitu hivi? 1 Watu wa Bwana waliochaguliwa na kuungana 2 watatimiza kusudi lake dhidi ya Babeli; 2 mkono wa Mungu utakuwa dhidi ya Wakaldayo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:2“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, 2 msikilizeni baba yenu Israeli. 1
Isaiah 13:17Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, 2 ambao hawajali fedha 2 wala hawafurahii dhahabu. 1
Isaiah 43:9Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1
Isaiah 44:28nisemaye kuhusu Koreshi, ‘Yeye ni mchungaji wangu, 2 naye atatimiza yote yanipendezayo; 2 atauambia Yerusalemu, “Ukajengwe tena,” 2 na kuhusu Hekalu, “Misingi yake na iwekwe.” ’
Isaiah 45:20“Kusanyikeni pamoja mje, 2 enyi wakimbizi kutoka mataifa. 1 Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, 2 wale waombao miungu isiyoweza kuokoa. 1
Jeremiah 50:21“Shambulieni nchi ya Merathaimu 2 na wale waishio huko Pekodi. 1 Wafuatieni, waueni 2 na kuwaangamiza kabisa,” 4 asema Bwana. 2 “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru. 1