The Bible Software
bible.softwareZechariahZechariah 9 › Zechariah 9:13

Zechariah 9:13

Nitampinda Yuda kama nipindavyo upinde wangu, 2 nitamfanya Efraimu mshale wangu. 1 Nitawainua wana wako, ee Sayuni, 2 dhidi ya wana wako, ee Uyunani, 2 na kukufanya kama upanga wa shujaa wa vita. 1 Bwana Atatokea 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When I have bent Judah for me, filled the bow with Ephraim, and raised up thy sons, O Zion, against thy sons, O Greece, and made thee as the sword of a mighty man.

In Context

12Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; 2 hata sasa ninatangaza kwamba 2 nitawarejesheeni maradufu. 1

14Kisha Bwana atawatokea; 2 mshale wake utamulika 2 kama umeme wa radi. 1 Bwana Mwenyezi atapiga tarumbeta, 2 naye atatembea katika tufani za kusini, 2

Read all of Zechariah 9

Cross References

Psalms 18:32Mungu ndiye anivikaye nguvu 2 na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 1

Psalms 49:2Wakubwa kwa wadogo, 2 matajiri na maskini pamoja: 1

Psalms 149:6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao 2 na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 1

Isaiah 49:2Akafanya kinywa changu kuwa kama upanga ulionolewa, 2 katika uvuli wa mkono wake akanificha; 1 akanifanya kuwa mshale uliosuguliwa, 2 na kunificha katika podo lake. 1

Lamentations 4:2Wana wa Sayuni wenye thamani, 2 ambao mwanzo uzito wa thamani yao 2 ulikuwa wa dhahabu, 1 sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo, 2 kazi ya mikono ya mfinyanzi! 1

Daniel 11:32Kwa udanganyifu atapotosha wale walionajisi agano, lakini watu wanaomjua Mungu wao watampinga kwa uthabiti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zechariah 9:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zechariah 9:12Zechariah 9Zechariah 9:14 →