Zekaria 9:4
Lakini Bwana atamwondolea mali zake 2 na kuuangamiza uwezo wake wa baharini, 2 naye atateketezwa kwa moto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Tiro amejijengea ngome imara, 2 amelundika fedha kama mavumbi 2 na dhahabu kama taka za mitaani. 1
Cross References
Proverbs 10:2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, 2 lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 1
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Ezekiel 26:17Ndipo wao watakuombolezea na kukuambia: 1 “ ‘Tazama jinsi ulivyoharibiwa, 2 ee mji uliokuwa na sifa, 2 wewe uliyekaliwa na mabaharia! 1 Ulikuwa na nguvu kwenye bahari, 2 wewe na watu wako; 1 wote walioishi huko, 2 uliwatia hofu kuu. 1
Ezekiel 28:2“Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Kwa sababu moyo wako umejivuna 2 na umesema, “Mimi ni mungu; 1 nami ninaketi katika kiti cha enzi cha mungu 2 katika moyo wa bahari.” 1 Lakini wewe ni mwanadamu, wala si mungu, 2 ingawa unafikiri kuwa una hekima kama mungu. 1
Ezekiel 28:16Kutokana na biashara yako iliyoenea, 2 ulijazwa na dhuluma, 2 nawe ukatenda dhambi. 1 Hivyo nilikuondoa kwa aibu kutoka mlima wa Mungu, 2 nami nikakufukuza, ee kerubi mlinzi, 2 kutoka katikati ya vito vya moto. 1
Joel 3:8Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” Bwana amesema. 1