Sefania 3:4
Manabii wake ni wenye kiburi, 2 ni wadanganyifu. 1 Makuhani wake hunajisi patakatifu 2 na kuihalifu sheria. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:22Basi Eli, ambaye alikuwa mzee sana, alisikia kuhusu kila kitu ambacho wanawe walikuwa wakiwafanyia Israeli wote na jinsi walivyokutana kimwili na wanawake waliohudumu kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1
Jeremiah 6:13“Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa, 2 wote wana tamaa ya kupata faida zaidi; 1 manabii na makuhani wanafanana, 2 wote wanafanya udanganyifu. 1
Jeremiah 14:13Lakini nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ”
Jeremiah 23:10Nchi imejaa wazinzi; 2 kwa sababu ya laana, nchi imekauka 2 na malisho yaliyoko nyikani yamekauka. 1 Mwenendo wa manabii ni mbaya 2 na mamlaka yao si ya haki. 1
Jeremiah 23:25“Nimesikia wanayoyasema manabii, hao wanaotabiri uongo kwa jina langu. Wanasema, ‘Nimeota ndoto! Nimeota ndoto!’