The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 31 › Isaiah 31:4

Isaiah 31:4

Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Kama vile simba angurumavyo, 2 simba mkubwa juu ya mawindo yake: 1 hata ingawa kundi lote la wachunga mifugo 2 huitwa pamoja dhidi yake, 1 hatiwi hofu na kelele zao 2 wala kusumbuliwa na ghasia zao; 1 ndivyo Bwana Mwenye Nguvu Zote atakavyoshuka 2 kufanya vita juu ya Mlima Sayuni 2 na juu ya vilele vyake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus hath the LORD spoken unto me, Like as the lion and the young lion roaring on his prey, when a multitude of shepherds is called forth against him, he will not be afraid of their voice, nor abase himself for the noise of them: so shall the LORD of hosts come down to fight for mount Zion, and for the hill thereof.

In Context

3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, 2 farasi wao ni nyama, wala si roho. 1 Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake, 2 yeye anayesaidia atajikwaa, 2 naye anayesaidiwa ataanguka, 2 wote wawili wataangamia pamoja.

5Kama ndege warukao, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ataukinga Yerusalemu; 1 ataukinga na kuuokoa, 2 atapita juu yake na kuufanya salama.”

Read all of Isaiah 31

Cross References

Exodus 14:14Bwana atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”

Numbers 24:8“Mungu alimleta kutoka Misri; 2 yeye ana nguvu kama nyati. 1 Anayararua mataifa yaliyo adui zake, 2 na kuvunja mifupa yao vipande vipande; 2 huwachoma kwa mishale yake. 1

Psalms 125:1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1

Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”

Isaiah 30:32Kila pigo Bwana atakaloliweka juu yao 2 kwa fimbo yake ya kuadhibu, 1 litakuwa kwa wimbo wa matari na vinubi, 2 anapopigana nao katika vita 2 kwa mapigo ya mkono wake. 1

Isaiah 42:13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 31:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 31:3Isaiah 31Isaiah 31:5 →