bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 19 › 2 Samweli 19:34
2 Samweli 19:34
Lakini Barzilai akamjibu mfalme, “Je, nitaishi miaka mingine mingapi, hata nipande kwenda Yerusalemu pamoja na mfalme?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Barzillai said unto the king, How long have I to live, that I should go up with the king unto Jerusalem?
In Context
33Mfalme akamwambia Barzilai, “Vuka pamoja nami na ukae nami huko Yerusalemu, nami nitakupatia mahitaji yako.”
35Sasa nina miaka themanini. Je, naweza kutofautisha kati ya lililo jema na lililo baya? Je, mtumishi wako anaweza kujua ladha ya kile anachokula au anachokunywa? Je, bado naweza kusikiliza sauti za waimbaji wa kiume na za wanawake? Kwa nini mtumishi wako aongeze mzigo kwa bwana wangu mfalme?
Read all of 2 Samweli 19
Cross References
Genesis 47:8Farao akamuuliza, “Je una umri gani?”
Psalms 39:5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1
James 4:14Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 19:34