The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:9

2 Samweli 22:9

Moshi ukapanda kutoka puani mwake, 2 moto uteketezao ukatoka kinywani mwake, 1 makaa ya moto yawakayo 2 yakatoka ndani mwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There went up a smoke out of his nostrils, and fire out of his mouth devoured: coals were kindled by it.

In Context

8“Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya mbingu ikatikisika, 1 vilitetemeka kwa sababu 2 alikuwa amekasirika. 1

10Akazipasua mbingu akashuka chini, 2 mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Exodus 19:18Mlima Sinai ulikuwa umefunikwa na moshi, kwa sababu Bwana alishuka juu yake katika moto. Moshi wa moto huo ulipanda juu kama moshi kutoka kwenye tanuru kubwa na mlima wote ukatetemeka kwa nguvu nyingi,

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

2 Samuel 22:16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwake Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 1

Job 41:20Moshi hufuka kutoka puani mwake, 2 kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 1

Psalms 18:15Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwako, Ee Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 1

Isaiah 30:27Tazama, Jina la Bwana linakuja kutoka mbali, 2 likiwa na hasira kali inayowaka 2 pamoja na wingu zito la moshi, 1 midomo yake imejaa ghadhabu 2 na ulimi wake ni moto ulao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:82 Samweli 222 Samweli 22:10 →